2010
Kuimarisha Ushuhuda Wako
Januari 2010


Kwa Vijana

Kuimarisha Ushuhuda Wako

Fanya zoezi la ukaguzi wa kibinafsi ili kukusaidia kufikiria kuhusu jinsi unavyoendelea katika kuimarisha ushuhuda wako:

  • Je, natamani kuamini?

  • Je, Mimi hufunga na kuomba nikupate ushuhuda wenye nguvu?

  • Je, Mimi husoma na kutafakari maandiko kila siku?

  • Je, Mimi hujaribu kutii amri kila siku?

  • Je, Mimi hujaribu kufuata ushawishi kutoka kwa Roho Mtakatifu?

  • Je, Mimi hutoa ushuhuda wangu wakati nimeshawishika kufanya hivyo?

Chapisha