2013
Maombi ya Ajabu
Januari 2013


Watoto

Maombi ya Ajabu

Rais Eyring hufunza kwamba maombi yanaweza kujibiwa kwa njia nyingi tofauti. Unaweza kuwa na upekuzi usio wa kawaida wa maandiko kutafuta baadhi ya njia hizo.

Tazama kila maandiko hapo chini. Katika shajara yako, andika maneno machache yanayoelezea kile haya maandiko yanasema kuhusu majibu ya maombi.

Unaweza pia kuandika katika shajara yako kuhusu uzoefu wako mwenyewe wa maombi yaliyojibiwa.

Yohana 14:26

Mafundisho na Maagano 6:22–23

Mafundisho na Maagano 8:2

Mafundisho na Maagano 9:8–9

Mithali 8:10–11

Chapisha