2013
Njia Nyingi za Kusema Asante
Agosti 2013


Watoto

Njia Nyingi za Kusema Asante

“Duniani kote mwishoni wa siku,

Watoto wa Baba wa Mbinguni hupiga magoti na kuomba,

Kila mmoja wao akisema asante kwa njia yake maalum.”

“Watoto Duniani Kote,” Children’s Songbook, 16.

Tumia ramani kutambua nchi mbalimbali ambapo lugha hizi huzungumzwa. Baadhi ya lugha hizi huzungumzwa katika nchi zaidi ya moja!

  1. Gracias (Kihispania)

  2. malo (Kitonga)

  3. thank you (Kiingereza)

  4. shukriyaa (Kihindi)

  5. spaseba (Kirusi)

  6. arigatō (Kijapani)

  7. obrigado (Kireno)

  8. asante (Kiswahili)

  9. merci (Kifaransa)

Chapisha