2013
Fanya Hesabu
Agosti 2013


Vijana

Fanya Hesabu

Rais Eyring anamnukuu Rais Spencer W. Kimball (1895–1985) akisema kuwa “majarida ni njia ya kuhesabu baraka zetu na ya kuacha hesabu ya baraka hizi kwa vizazi wetu.” Katika mkutano mkuu Oktoba 2012, Rais Thomas S. Monson alitoa ushuhuda wake wa kuandika jarida. Alishiriki baadhi ya uzoefu kutoka kwa maisha yake, akiongeza, “Jarida langu la kila siku, lililowekwa kwa miaka hii yote, limesaidia kutoa baadhi ya mambo mahususi ambayo huenda singeweza kuelezea” Alishauri, Fanya hesabu ya maisha yako na angalia hasa kwa ajili ya baraka, kubwa na ndogo, umepokea (Consider the Blessings, Liahona and Ensign, Nov. 2012, 86). Tia bidii katika kufuata ushauri wa manabii hawa na kuweka malengo ya kuandika katika jarida lako.

Chapisha