2013
Kuhudumu katika Misimu Yote.
Septemba 2013


Watoto

Kuhudumu katika Majira yote

Rais Uchtdorf anafundisha kwamba “tuhudumu kwa furaha na kwa kutaka, katika hali zote na majira yote.” Ni zipi baadhi ya njia unazoweza kuwahudumia wengine majira ya baridi? Ni zipi baadhi ya njia unazoweza kuhudhumuia wakati wa majira ya kuchipua? Je! Kuhusu wakati wa majira ya joto na msimu wa majani kupukutika? Andika mawazo yako kwa kila majira. Unaweza kutaka kujaribu kutumia moja ya mawazo yako mwezi huu!

Chapisha