2013
Shirikisha Ushuhuda Wako.
Desemba 2013


Watoto

Shiriki Ushuhuda Wako

Unaweza kushiriki zawadi ya injili Krismasi hii kwa kumpa rafiki au jirani nakala ya Kitabu cha Mormoni pamoja na ushuhuda wako ulioandikwa ndani yake. Fuata hatua hizi kukifanya kiwe tayari:

  1. Kwenye kipande cha karatasi, pima msitatili inchi 4½ x 6½ (sentimita 11½ x 16½) na uache mtu mzima akusaidie kuukata.

  2. Ongeza picha yako mwenyewe —ama mchoro au picha—juu ya ukurasa.

  3. Andika ushuhuda wako chini ya picha yako.

  4. Acha mtu mzima akusaidie kubandika ndani ya jalada la Kitabu cha Mormoni.

Chapisha