2014
Kuwa Bora Uwezavyo — Kuanzia Sasa
Januari 2014


Vijana

Kuwa Bora Uwezavyo — Kuanzia Sasa

Rais Uchtdorf anafundisha kwamba “malengo ya kibinafsi yanaweza kuleta ubora ndani yetu.” Fikiria kuweka malengo kiasi katika sehemu mbili ama tatu za maisha yako, kama vile, kwa mfano, hali ya kiafya, hali ya kiroho na urafiki. Ni ufanisi upi ungependa kupata katika sehemu hizi mwaka huu? Unapofikiria kwa maombi juu ya malengo kadhaa, hakikisha yanaweza kutimizwa lakini yatakuhitaji ukue. Katika jarida lako, eleza malengo yako kwa kina ili uweze kuona maendeleo yako mwaka ukipita.

Chapisha