2014
Tafuta Njia za kuhudumu
Machi 2014


Watoto

Tafuta Njia za Kuhudumu

Unaweza kuchagua kumfuata Yesu Kristo na kuwahudumia wengine. Chora picha yako ukimhudumia mwana familia ama rafiki na weka mchoro wako mahali ambapo unaweza kukukumbusha kuwa mwema kila siku.

Chapisha