2014
Upendo Nyumbani
Julai 2014


Watoto

Upendo Nyumbani

Kwa ukarimu mbingu hutabasamu hapo juu

Wakati kuna upendo nyumbani;

Ulimwengu wote unajaa upendo

Wakati kuna upendo nyumbani.

(“Love at Home,” Hymns, no. 294)

Baba wa Mbinguni anataka tupende familia zetu ili tuweze kuwa na furaha. Zaidi tunavyozihudumia familia zetu, ndivyo zaidi tutampenda Baba wa Mbinguni na wana familia wetu.

Chora mioyo kwenye kipande cha karatasi na uukate. Andika maneno machache ya furaha ama uchore picha juu yake na kwa siri uipeleke kwa wana familia wako. Tazama jinsi itakavyowafurahisha!

Chapisha