2015
Kufuata Mfano wa Waanzilishi
Julai 2015


Watoto

Kufuata Mfano wa Waanzilishi

Rais Uchtdorf anaeleza njia kadhaa ambazo waanzilishi walionyesha upendo kwa Baba wa Mbinguni. Unaweza kufuata mfano wao. Pata mawazo machache kukusaidia kuanza:

Huruma

Mwandikie kijibarua kizuri ama mtengenezee kitu kizuri mtu aliye na huzuni.

Msaidie mwanafunzi mwenzako na kazi yake ya nyumbani.

Kazi

Weka lengo. Fanya kitu kila siku mwezi huu kukusaidia kufikia lengo lako.

wasaidie wazazi wako kupika chakula cha jioni.

Tumaini

Tengeneza orodha ya vitu 10 vya furaha katika maisha yako.

Toa tabasamu kwa kila mtu unayemuona.

Chapisha