2015
Mafundisho ya Wakati Wetu
Novemba 2015


Mafundisho ya Wakati Wetu

Kuanzia Oktoba 2015 hadi Aprili 2016, masomo ya Ukuhani wa Melkizedeki na Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama katika Jumapili ya nne yanafaa kuandaliwa toka kwenye hotuba moja ama zaidi katika zile zilizotolewa kwenye mkutano mkuu wa Oktoba 2015. Mwezi Oktoba 2016, maongezi yanaweza kuchukuliwa toka kwenye mkutano mkuu wa Aprili 2016 au Oktoba 2015. Marais wa wilaya na vigingi wanachagua ni hotuba gani zitatumika kwenye maeneo yao, au wanaweza kutoa majukumu kwa maaskofu au marais wa matawi.

Hotuba hizi zinapatikana katika lugha nyingi katika conference.lds.org.

Chapisha