2017
Katikati kabisa!
Januari 2017


Watoto

Katikati kabisa!

Rais Uchtdorf husema injili ni kama kufanya zoezi la shabaha. Tunahitaji kulenga kwenye mambo muhimu sana. Amri muhimu sana ni kumpenda Mungu na kuwapenda wengine. Kama tukilenga katika mambo haya mawili, tumaweza kupiga katikati kabisa kila mara!

Chora dango kubwa kwenye kipande cha karatasi. Acha mazazi akusomee orodha ifuatayo kwako. Kila kitu katika orodha ni kitu ambacho hutusaidia kuonyesha upendo wetu kwa Mungu na wengine, kisha kiandike ama ukichore katikati ya dango.

Shiriki ushuhuda wako.

Iba peremende

Nenda kanisani

Mwite mtu jina la kejeli

Fanya maombi yako.

Mkumbatie mtu

Gombana na ndugu zako

Chapisha