2017
Zivae Silaha Zako
March 2017


Watoto

Zivae Silaha Zako

Kuna mambo mengi mabaya ulimwenguni leo. Injili ni kama ngao inayotukinga. Soma mambo 10 ambayo Rais Eyring anatueleza tufanye ili kujikinga. Kisha chora na upake rangi ngao yako!

  1. Kushika kitakatifu Siku ya Sabato.

  2. Heshimu ukuhani.

  3. Fanya na shika maagano

  4. Fanya kazi ya historia ya familia

  5. Nendeni hekaluni

  6. Tubu

  7. Omba

  8. Hudumia wengine

  9. Toa ushuhuda wako.

  10. Soma maandiko

Chapisha