2017
Hekaheka za Maisha
August 2017


Watoto

Nyakati za Furaha na Huzuni

Baadhi ya siku huwa na nyakati zisizo za furaha sana. Na hivyo ni sawa. Yesu anaweza kukusaidia kukabiliana nazo.

Chora uso uliokunjamana. Ni kwa namna gani Yesu anaweza kukusaidia wakati unapohuzunika? Sasa chora uso ulio na tabasamu. Ni kwa namna gani Yesu anaweza kukusaidia kuwa na furaha?

Chapisha