2017
Kumtazamia Kristo
December 2017


Watoto

Kumtazamia Kristo

Watu wengi walitazamia na kusubiria Yesu azaliwe. Sasa tunamngojea na kumsubiria Yeye aje tena! Tunaweza kujiandaa kwa kujifunza juu ya Yesu na kumfuata Yeye. Je, ni kwa namna gani wewe unamfuata Yesu? Chora nyota na uandike mawazo yako ndani yake.

Chapisha