Novemba 2023 Mpendwa Msomaji wa Liahona Maelezo kuhusu toleo la gazeti hili lenye dondoo za mkutano mkuu. Rais Russell M. NelsonFikiria Selestia!Rais Nelson anafundisha umuhimu wa kuwa na imani katika Yesu Kristo na kufanya chaguzi ukifikiria ufalme wa selestia. Dondoo. Rais Dallin H. OaksFalme za UtukufuRais Oaks anafundisha kuhusu falme za utukufu baada ya maisha haya na fokasi ya Kanisa katika kutusaidia kuhitimu kwa ajili ya daraja la juu la ufalme wa Selestia. Dondoo. Rais Henry B. EyringMwenzi Wetu DaimaRais Eyring anafundisha kwamba tunahitaji kujitahidi kuwa na Roho Mtakatifu kama mwenzi wetu daima. Dondoo. Mzee David A. BednarKwenye Njia ya Jukumu LaoMzee Bednar anaelezea shukrani yake kwa waumini wa Kanisa ambao wanatumikia kote ulimwenguni na ni nguvu ya Kanisa. Dondoo. Dada Amy A. WrightStahimili Siku katika KristoDada Wright anafundisha kwamba kupitia msaada wa Yesu Kristo, sote tunaweza “kustahimili siku” na kupambana na kushinda changamoto tunazokabiliana nazo. Dondoo. Mzee D. Todd ChristoffersonNguvu ya KuunganishaMzee Christofferson anafundisha kwamba nguvu ya kuunganisha ambayo huhalalisha ibada zote za ukuhani na kuzifanya zifungwe kote duniani na mbinguni, ni ya muhimu kwa ajili ya kuikusanya Israeli. Dondoo. Mzee Neil L. AndersenZaka: Kufungua Madirisha ya MbinguniMzee Andersen anafundisha kwamba tunapolipa zaka kwa uaminifu, Bwana atafungua madirisha ya mbinguni na kumwaga baraka juu yetu. Dondoo. Mzee Gary E. StevensonMinong’ono ya RohoMzee Stevenson anafundisha umuhimu wa kutafuta, kutambua, na kutenda juu ya minong’ono ya Roho Mtakatifu. Dondoo. Mzee Ronald A. RasbandItakuwa Shangwe Kubwa Namna Gani KwakoMzee Rasband anafundisha kwamba ili kukusanya Israeli, wamisionari wengi wanahitajika na anawaalika watu wazima wachukue maarifa na shuhuda zao na kwenda misheni. Dondoo. Dada Tamara W. RuniaKuiona Familia ya Mungu kupitia Lenzi ya UjumuishiDada Runia anafundisha kwamba kuna nguvu na shangwe wakati tunapojiona sisi na familia zetu kutokea kwenye mtazamo wa picha kubwa. Dondoo. Mzee Ulisses SoaresAkina Kaka na Akina Dada katika KristoMzee Soares anafundisha jinsi ya kujilinda dhidi ya chuki na kutendeana kama akina kaka na akina dada katika Yesu Kristo. Dondoo. Rais M. Russell BallardSifa kwa Aliyenena na BwanaRais Ballard anashuhudia juu ya baraka nyingi tunazozifurahia kwa sababu ya Nabii Joseph Smith, ambaye alirejesha utimilifu wa injili ya Yesu Kristo. Dondoo. Rais Emily Belle FreemanKutembea katika Uhusiano wa Agano na KristoRais Freeman analinganisha kutembea njia ya agano na kutembea Njia ya Yesu huko Israeli. Dondoo. Mzee Quentin L. CookKuweni Wafuasi wa Amani wa KristoMzee Cook anafundisha kwamba wafuasi wa amani wa Kristo ambao wanashika amri Zake watabarikiwa kwa amani wanapokabiliana na majaribu na wanaweza kutazamia siku zijazo angavu. Dondoo. Mzee Dieter F. UchtdorfMpotevu na Njia Ambayo Inaongoza NyumbaniMzee Uchtdorf anafundisha kwamba kamwe hakuna kuchelewa kwenye kutubu na kurejea kwenye njia iongozayo kwa Mungu. Dondoo. Mzee Dale G. RenlundYesu Kristo ni HazinaMzee Renlund anafundisha kwamba tunapofokasi kwa Yesu Kristo na kuacha kutazama kupita alama, tutapata hazina kubwa za injili. Dondoo. Mzee Gerrit W. GongUpendo Unazungumzwa HapaMzee Gong anafundisha jinsi tunavyoweza kutumia lugha tatu za upendo wa injili: lugha ya uchangamfu na staha, lugha ya huduma na dhabihu na lugha ya kuwa sehemu ya agano. Dondoo. Bango: Fikiria Selestia!Bango lenye nukuu kutoka kwa Rais Nelson: “Fikiria Selestia! Bango: Mwaliko kwa Vijana WoteBango lenye nukuu ya Mzee Stevenson kutoka kwenye mkutano mkuu. Kidijitali PekeeKaratasi za Kupamba ukutani za Mkutano MkuuKaratasi za kupamba ukutani kutoka kwenye mkutano mkuu wa Oktoba 2023.