Kujifunza Kiingereza
Somo la 7: Familia


“Somo la 7: Familia,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 7,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi

familia wakizungumza nje

Lesson 7

Family

Shabaha: Nitajifunza kuuliza na kujibu maswali kuhusu wanafamilia.

Personal Study

Jiandae kwa ajili kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

Tumia imani katika Yesu Kristo.

Jesus Christ can help me do all things when I exercise faith in Him.

Yesu Kristo anaweza kunisaidia kufanya vitu vyote ninapoonyesha imani Kwake.

Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu. Yeye ana uweza wote. Katika maandiko, tunasoma kuhusu mtu ambaye alitumia imani yake katika Yesu Kristo. Mtoto wa mtu huyu alikuwa mgonjwa sana na hakuna mtu angeweza kumsaidia. Baba alimwomba Yesu amponye mtoto wake. Yesu alimwambia.

“Ukiweza, yote yawezekana kwake aaminiye. … “Mara babaye yule kijana akapaza sauti akasema akilia, Bwana, Naamini, nisaidie kutokuamini kwangu. … Yesu akamshika mkono akamwinua naye akasimama” (Marko 9:23–24, 27).

Kama mtu huyu, unaweza kuanza na tumaini na imani ambayo tayari unayo. Kisha unaweza kukuza imani yako kupitia sala na kujifunza maandiko. Unaweza pia kukuza imani yako unapojaribu kujifunza Kiingereza. Unaweza kuanza na kile unachojua sasa. Fokasi juu ya kile unachoweza kufanya kwa Kiingereza, na ukitumie mara nyingi uwezavyo. Jaribu kusikiliza, kusoma, kusema na kuandika kwa Kiingereza kila siku. Kadiri unavyotenda kwa imani ya kuipa bidii yako yote, Yeye anaweza kusaidia imani yako kukua.

picha ya Yesu Kristo

Ponder

  • Ni kwa jinsi gani unaweza kutumia imani katika Yesu Kristo?

  • Ni kwa jinsi gani unaweza kukuza imani yako unapojifunza Kiingereza?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo.

Tell me about …

Nielezee kuhusu …

yourself

wewe mwenyewe

Nouns

cousin/cousins

binamu/binamu

eyes

macho

glasses

miwani

hair

nywele

mustache

masharubu

*Ona kiambatisho kwa ajili ya family nounszaidi.

Adjectives

blue

bluu

brown

kahawia

green

kijani

hazel

ukungu

blonde

nywele zenye rangi ya shaba

black

nyeusi

gray

kijivu

red

nyekundu

white

nyeupe

long

ndefu

short**

fupi

tall

ndefu

short*

fupi

married

kuoa/kuolewa

single

mseja

**Katika Kiingereza, neno fupi linaweza kurejelea kimo au urefu.

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

A: Tell me about your (noun).B: They have (adjective) (noun).

Requests

ombi la mpangilio wa 1 nielezee kuhusu nomino yako

Answers

jibu la mpangilio wa 1 wana nomino kuvumishi

Examples

mwaume mzee akitabasamu

A: Tell me about your brother.B: He has a mustache.

familia imesimama kwa ajili ya kupiga picha katika bustani

A: Tell me about your sisters.B: They have black hair.

A: Tell me about your aunt.B: She has blue eyes.

ikoni e
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutambua mipangilio hii wakati wa mazoezi yako ya kila siku. Badilishaneni wenza na mfanye mazoezi tena.

Q: Is your (noun) (adjective)?A: Yes, he is (adjective).

Questions

swali la mpangilio wa 2 je, nomino yako ni kivumishi

Answers

jibu la mpangilio wa 2 ndiyo, yeye ni kivumishi

Examples

wazazi na watoto watatu wakitabasamu

Q: Is your sister married?A: Yes, she is married.

Q: Are you married?A: No, I am single.

Q: Are your sisters tall?A: No, they are short.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 1.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea Kufanyia mazoezi ya Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi”. Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

(20–30 minutes)

picha ya Yesu Kristo

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanyia mazoezi mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Chagua mtu kutoka kwenye mojawapo ya makundi hapo chini. Usimwambie mwenzako ni mtu gani unamchagua. Sema sentensi tatu kuhusu mtu huyu. Mwenzako akisie ni nani huyu. Chukueni zamu.

New Vocabulary

bald

upara

beard

ndevu

curly

enye kupinda

straight

iliyonyooka

old

mzee

young

kijana

Example: Maria

Maria
  • A: She has blue eyes. She has gray hair. She has glasses.

  • B: Is it Maria?

  • A: Yes!

Image Group 1

Agnes

mwanamke mwenye nywele nyekundu na shati la kijani

Maria

mwanamke mwenye nywele nyeupe na shati la kijani

Harriet

mwanamke mwenye nywele kahawia na shati la njano

Victoria

mwanamke mwenye nywele nyeusi na shati la zambarau

Image Group 2

Mikhail

mwanaume mwenye upara na shati la kijivu

Banoy

mwanaume mwenye nywele nyeusi na shati la kijivu

David

mwanaume mwenye nywele kahawia, tai nyekundu na miwani

Carlos

mwanaume mwenye upara na shati la kijivu na miwani

Image Group 3

Gabriela

mwanamke mwenye nywele nyeusi na shati la njano

Abeni

mwanamke mwenye nywele nyeusi na shati la waridi

Mei

mwanamke mwenye nywele nyeusi na shati la buluu

Clara

mwanamke mwenye nywele rangi ya shaba na shati la njano

Image Group 4

Kumar

mwanaume mwenye nywele nyeusi na shati la zambarau

James

mwanamke mwenye nywele rangi ya shaba na shati la buluu

Dev

mwanaume mwenye nywele nyeusi, shati la zambarau na ndevu

Paolo

mwanaume mwenye mvi na suti pamoja na tai ya kijani na miwani

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Chagua wanafamilia watatu. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu. Badilishaneni wenza na mfanye mazoezi tena.

Example

  • A: Tell me about your cousin.

  • B: My cousin has curly hair. She has blue eyes.

  • A: Is your cousin tall?

  • B: Yes, she is tall.

  • A: Is your cousin married?

  • B: No, she is single.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya shabaha na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Describe myself and my family.

    Kujielezea mimi mwenyewe na familia yangu

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Ask about someone’s family.

    Uliza kuhusu familia ya mtu.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Describe someone’s family.

    Elezea familia ya mtu.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mpangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Bwana hahitaji imani kamilifu kwetu ili sisi kufikia uwezo Wake mkamilifu. Lakini Yeye anatutaka sisi tuamini. … Vitu vyote vinawezekana kwa wale wanaoamini” (Russell M. Nelson, “Kristo Amefufuka; Imani Kwake Itahamisha Milima,” Liahona, Mei 2021, 101).