Kujifunza Kiingereza
Somo la 19: Fedha


“Somo la 19: Fedha,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 19,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi

mwanamke na mwanamume wakitengeneza mkeka

Lesson 19

Money

Shabaha: Nitajifunza kuuliza na kujibu maswali kuhusu kununua vitu.

Personal Study

Jiandae kwa ajili kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

Tumia imani katika Yesu Kristo.

Jesus Christ can help me do all things as I exercise faith in Him.

Yesu Kristo anaweza kunisaidia kufanya vitu vyote ninapoonyesha imani Kwake.

Siku moja, Yesu Kristo alikuwa akifundisha maefu ya watu jangwani. Yesu na wanafunzi Wake walikuwa na wasi wasi kwa sababu watu hawakuleta chakula chochote. Mvulana mmoja katika kundi alitoa mikate mitano na samaki wawili. Watu wengi walishangaa jinsi mikate mitano na samaki wawili vingeweza kuwalisha wale watu wote. Lakini Yesu alimshukuru Mungu kwa ajili ya chakula kile, alikibariki, akakigawa katika vikapu na kuwatuma wanafunzi wakagawe. Biblia inasema:

“Wakala wote wakashiba; na … [kukawa kumebakia] vikapu kumi na viwili, vimejaa” (Mathayo 14:20).

Kila mtu alikula, na kukawa na chakula zaidi. ulikuwa ni muujiza. Vivyo hivyo, wewe unaweza kuhisi huna muda wa kutosha kujifunza Kiingereza. Fuata mfano wa Yesu katika hadithi hii. Mshukuru Mungu kwa ajili ya muda na nguvu ulizo nazo na muombe Yeye azibariki. Kama utatoa kile ulichonacho kwa imani, Mungu anaweza kuongeza uwezo wako. Hata kama una wakati mdogo tu, pengine unaweza kujifunza mipangilio michache au kujaribu kutumia maneno machache mapya kila siku. Mungu anaweza kuzifanya juhudi zako ziwe na mafanikio zaidi. Kuwa na imani katika Yesu Kristo na kufuata mfano Wake kunaweza kukusaidia wewe kufanya mengi zaidi kuliko unavyofikiria inawezakana.

Kristo akiwalisha makutano

Ponder

  • Ni kwa jinsi gani Mungu anaweza kukusaidia wewe kujifunza Kiingereza?

  • Fikiria wakati ambapo Mungu alikusaidia wewe kufanya zaidi kuliko vile ulivyofikiri ilikuwa inawezekana. Je, ulifanya nini? Je, Yeye alifanya nini?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno hayo katika maisha yako. Fikiria kuhusu lini na wapi ungeweza kutumia maneno haya.

buy

nunua

cost/costs

gharama/gharama

want

kutaka

How much does this cost?

Je, hiki ni bei gani?

Nouns

coat/coats

koti/makoti

dress/dresses

gauni/magauni

pants

suruali

shirt/shirts

shati/mashati

shoe/shoes

kiatu/viatu

tie/ties

tai/tai

car/cars

gari/magari

phone/phones

simu/simu

Price

$50/fifty dollars

$50/dola hamsini

Ona kiambatisho kwa ajili ya numberszaidi.

Ona kiambatisho kwa ajili ya currencyzaidi.

Adjectives

cheap

rahisi

expensive

ghali

good

nzuri

bad

mbaya

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: How much does this (noun) cost?A: It costs (price).

Questions

swali la mpangilio wa 1 hii nomino bei gani

Answers

jibu la mpangilio wa 1 hii bei yake ni

Examples

simu ya mkononi nyeusi

Q: How much does this phone cost?A: It costs five hundred dollars.

Q: How much do these pants cost?A: They cost twenty dollars.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kujifunza zaidi kuhusu mipangilio katika somo hili. Fikiria kutumia vitabu vya sarufi au tovuti.

Q: Do you want to buy this (noun)?A: Yes, this (noun) is (adjective).

Questions

swali la mpangilio wa 2 unataka kununua hii nomino

Answers

jibu la mpangilio wa 2 ndiyo, hii nomino ni kivumishi

Examples

gari jeupe

Q: Do you want to buy that car?A: Yes, that car is cheap.

viatu vyeusi

Q: Does she want to buy these shoes?A: No, those shoes are expensive.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources na katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 1.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi”. Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Exercise Faith in Jesus Christ

(20–30 minutes)

Kristo akiwalisha makutano

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama picha. Chagua bei ya kila kitu Usimwambie mwenzako ni bei gani umechagua. Uliza na ujibu maswali kuhusu kiasi gani kila kitu kinagharimu. Chukueni zamu.

New Vocabulary

apple/apples

tufaa/matufaa

motorcycle/motorcycles

pikipiki/pikipiki

table/tables

meza/meza

Example

matufaa
  • A: How much do your apples cost?

  • B: They cost three dollars. Do you want to buy these apples?

  • A: Yes, those apples are cheap.

  • B: How much do your apples cost?

  • A: My apples cost five dollars. Do you want to buy these apples?

  • B: No, those apples are expensive.

Image 1

meza

Image 2

viatu vya gauni la kijani

Image 3

pikipiki

Image 4

simu ya mkononi nyeusi

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Fanya Igizo. Mwenza B anafanya ununuzi wa mavazi na ana dola 50 za kutumia. Mwenza A hufanya kazi katika duka la mavazi. Uliza na ujibu maswali kuhusu vitu katika kila picha. Mwenza A anaamua kununua na hawezi kutumia zaidi ya dola 50. Badilishaneni nafasi.

New Vocabulary

pretty

nzuri

ugly

mbaya

Why not?

Kwa nini?

Yes, I want to buy it.

Ndiyo, ninataka kuinunua.

No, I don’t want to buy it.

Hapana, sitaki kuinunua.

Example

  • A: How much does this shirt cost?

  • B: It costs 15 dollars. Do you want to buy it?

  • A: No, I don’t want to buy it.

  • B: Why not?

  • A: That shirt is expensive and ugly.

Image 1

40 dollars

gauni ya pinki

Image 2

20 dollars

viatu vya njano vya kisigino kirefu

Image 3

25 dollars

viatu vya wanaume vya vazi la kahawia

Image 4

10 dollars

tai ya rangi ya chungwa na kijivu

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya shabaha na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Ask and answer questions about how much something costs.

    Uliza na ujibu maswali kuhusu kiasi gani kitu kinagharimu.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Say why I want to buy something.

    Sema kwa nini unataka kununua kitu fulani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Say why I don’t want to buy something.

    Sema kwa nini mimi sipendi kununua kitu fulani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mpangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Kweli, imani ni nguvu ambayo inawezesha uwezekano wa kutimiza yasiyowezekana. Usidunishe imani uliyo nayo tayari” (Russell M. Nelson, “Kristo Amefufuka; Imani Kwake Itahamisha Milima,” Liahona, Mei 2021, 104).