Muungano wa Usaidizi
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito wangu kama Mshauri katika Urais wa Muungano wa Usaidizi

Nyenzo za Ziada

Kwa kuongezea kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada za kukusaidia katika wito wako.

Sydney Walker, “Jinsi Kushauriana Pamoja Kunavyoweza Kuongeza Umoja na Ufunuo katika Mikutano ya Jumapili ya Muungano wa Usaidizi,” Church News, Nov. 16, 2022, thechurchnews.com.Jinsi kushauriana katika mikutano ya Jumapili kunavyoweza kuwabariki akina dada wa Muungano wa Usaidizi.

Nyenzo za Kushauriana, Maktaba ya Injili.Rasilimali kwa ajili ya mshauri katika urais wa Muungano wa Usaidizi pale anaposhauriana na waumini wa Kanisa watu wazima.

Yesu Kristo Ni Fraja,” Liahona, Mei 2023, 81–83.Rais Camille N. Johnson anafundisha kuhusu chanzo chetu cha msingi cha faraja.

Michael Magleby, “To Sit in Council,” ChurchofJesusChrist.org.Jifunze kuhusu mpangilio wa Bwana kwa ajili ya kushauriana pamoja.

Chapisha