Msingi
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito Wangu kama Mshauri wa Darasa la Watoto katika Kigingi

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.

Kufundisha katika Njia ya Mwokozi: Kwa Ajili ya Wote Wanaofundisha Nyumbani na Kanisani (2022).Mwongozo wa jinsi ya kuwafundisha watoto na kuwasaidia walimu.

Kiambatisho B: Kwa Ajili ya Darasa la Watoto—Kuwaanda Watoto kwa Maisha Yote kwenye Njia ya Agano ya Mungu,” Njoo, Unifuate—Kwa ajili ya Nyumbani na Kanisani.Shughuli za kujifunza kusaidia kuwaandaa watoto kwa ajili ya maagano ambayo watayafanya.

Chapisha