Muungano wa Usaidizi
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa kwenye maandiko

Wito Wangu kama Rais wa Muungano wa Usaidizi

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali rejelea nyenzo hizi za ziada ili kukusaidia katika wito wako.

Sydney Walker, “How Counseling Together Can Increase Unity and Revelation in Sunday Relief Society Meetings,” Church News, Nov. 16, 2022, thechurchnews.com.Jinsi gani kushauriana katika mikutano ya Jumapili kunaweza kubariki akina dada wa Muungano wa Usaidizi.

Counseling Resources, Gospel Library.Nyenzo kwa ajili ya rais wa Muungano wa Usaidizi anaposhauriana na waumini watu wazima wa Kanisa.

Yesu Kristo Ni Msaada,” Liahona, Mei 2023, 81–83.Rais Camille N. Johnson anafundisha kuhusu chanzo chetu cha msingi cha msaada.

Michael Magleby, “To Sit in Council,” ChurchofJesusChrist.org.Jifunze kuhusu mpangilio wa Bwana kwa ajili ya kushauriana.

Chapisha