Muungano wa Usaidizi
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito Wangu kama Katibu wa Muungano wa Usaidizi

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.

Sydney Walker, “How Counseling Together Can Increase Unity and Revelation in Sunday Relief Society Meetings,” Church News, Nov. 16, 2022, thechurchnews.com.Jinsi ambavyo kushauriana katika mikutano ya Jumapili kunavyoweza kuwabariki akina dada wa Muungano wa Usaidizi.

Yesu Kristo Ndiye Faraja,” Liahona, Mei 2023, 81–83.Rais Camille N. Johnson anafundisha kuhusu chanzo chetu cha msingi cha faraja.

Michael Magleby, “To Sit in Council,” Gospel Library.Jifunze kuhusu mpangilio wa Bwana wa kushauriana pamoja.

Nyenzo za Kiongozi na Karani.Zinatoa upatikanaji wa kumbukumbu za muungano wa usaidizi katika kata au tawi.

Chapisha