Msingi
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito wangu kama Rais wa Watoto wa Kigingi

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.

Kufundisha katika Njia ya Mwokozi: Kwa Ajili ya Wote Wanaofundisha Nyumbani na Kanisani (2022).Mwongozo wa jinsi ya kufundisha watoto na kusaidia walimu.

Kiambatisho B: Kwa Ajili ya Darasa la Watoto—Kuandaa Watoto kwa Maisha ya Milele katika Njia ya Agano la Mungu,” Njoo, Unifuate—Kwa ajili ya Nyumbani na Kanisani.Kujifunza shughuli ili kuwasaidia watoto kwa ajili ya maagano watakayoweka.

Chapisha