Wito Wangu kama Mtaalamu wa Ulemavu
Nyenzo za Ziada
Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.
-
Wazazi na Watoa Huduma.Nyenzo kwa ajili ya wazazi na watoa huduma wengine zinaweza kupatikana hapa, sambamba na maswali yanayoulizwa kila mara, kama vile “Ni kwa jinsi gani ninaweza kumsaidia mpendwa wangu kuendelea kwenye njia ya agano?”
-
Viongozi na Walimu.Taarifa na nyenzo kwa ajili ya viongozi wanaojaribu kuwasaidia waumini wenye ulemavu zinaweza kupatikana hapa. Jifunze kuhusu sera na miongozo mbalimbali ambayo inawaathiri moja kwa moja waumini wenye ulemavu. Baadhi ya mada ni pamoja na wanyama wa huduma, mizio ya chakula, na vifaa saidizi vya usikilizaji.
-
Mikakati ya Ufundishaji.Tazama video fupi 10 ambazo zinatoa mikakati ya kuwasaidia walimu wa Darasa la Watoto kuwa na ufanisi zaidi wanapowafundisha watoto wenye ulemavu.
-
Nyenzo.Tafuta nyenzo na video ambazo zimekusudiwa kutoa taarifa za ziada zenye msaada kuhusu ulemavu maalumu na imani.
-
Somo la Jioni ya Nyumbani juu ya Ulemavu.Hapa utapata muhtasari wa somo tayari kutumia nyumbani ili kusaidia kuimarisha uelewa wako juu ya ufahamu wa ulemavu na mjumuisho.