Akidi ya Wazee
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito Wangu kama Rais wa Akidi ya Wazee

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.

Kufundisha katika Njia ya Mwokozi: Kwa Ajili ya Wote Wanaofundisha Nyumbani na Kanisani (2022).Nyenzo hii inaweza kuwa mwongozo wako wa kujifunza kuhusu jinsi Mwokozi alivyofundisha. Kadiri unavyojitahidi kufundisha katika Njia Yake, Yeye atakusaidia wewe kuwa mwalimu ambaye Yeye anajua unaweza kuwa.

Chapisha