“Ubatizo na Uthibitisho Wangu,” Rafiki, Agosti 2023, 15.
Ubatizo na Uthibitisho Wangu
Jina langu ni __________
Nimechagua kumfuata Yesu Kristo na ni muumini wa Kanisa Lake.
Nilibatizwa siku hii: ___________
Nilibatizwa na __________
Nilipokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kuthibitishwa kuwa muumini wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho.
Nilithibitishwa siku hii: __________
Nilithibitishwa na ____________
____________
Rais wangu wa Msingi
____________
Askofu wangu au rais wa tawi
____________
Kata yangu au tawi
____________
Kigingi changu au wilaya