“Unganisha Nukta,” Rafiki, Agosti 2023, 20.
Unganisha Nukta
Picha
Alt text
Vielelezo na Thomas S. Child
Baada ya kubatizwa, unathibitishwa kuwa muumini wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Unapokea pia kipawa cha Roho Mtakatifu ili akuongoze na kukufariji. Unganisha nukta kukamilisha picha.