Mei 2023 Rais Russell M. NelsonWapatanishi WanahitajikaRais Nelson anatualika kujichunguza mioyoni mwetu na kuweka kando kitu chochote kinachotuzuia sisi kuwa wapatanishi, wajibu wa wafuasi wa kweli wa Yesu Kristo—hasa tukiwa kwenye changamoto. Dondoo. Rais Russell M. NelsonJibu Daima ni Yesu KristoRais Nelson anashuhudia juu ya Yesu Kristo na anatangaza maeneo ya mahekalu mapya. Dondoo. Rais Dallin H. OaksMafundisho ya Yesu KristoRais Oaks anashiriki maandiko ambayo ni kumbukumbu ya maneno ya Yesu Kristo. Dondoo. Rais Henry B. EyringKutafuta Amani BinafsiRais Eyring anafundisha kwamba tunapopitia uzoefu wa zawadi ya Mwokozi ya amani binafsi, tunaweza kuwasaidia wengine waipate, na wao, kama mjibizo, wanaweza kuipitisha kwa wengine. Dondoo. Mzee Gary E. StevensonHadithi Kuu ya Pasaka Iliyowahi KusimuliwaMzee Stevenson anashuhudia kuhusu ushahidi wa nguvu wa Yesu Kristo katika Kitabu cha Mormoni na kupendekeza kiwe sehemu ya kusherehekea kwetu Pasaka. Dondoo. Rais Bonnie H. CordonKamwe Usiache Nafasi ya Kushuhudia Juu ya KristoRais Cordon anatufundisha kusonga karibu zaidi na Kristo, kupokea ushahidi juu Yake, kukuza tabia takatifu na kushuhudia juu Yake. Ndipo tutakuja kuwa zaidi kama Yeye. Dondoo. Mzee Gerrit W. GongUhudumiajiMzee Gong anafundisha kwamba kuhudumu katika njia ya Mwokozi kutatusaidia tusonge karibu zaidi pamoja na kuwa zaidi kama Yesu Kristo. Dondoo. Mzee Quentin L. CookKwa Usalama Wamekusanyika NyumbaniMzee Cook anafundisha kwamba Bwana anawategemea wale ambao wamepokea injili yake kwa haraka wajitahidi kuwa mfano ambao utawasaidia wengine waje kwa Mungu. Dondoo. Mzee Dale G. RenlundKuzifikia Nguvu za Mungu kupitia MaaganoMzee Renlund anafundisha kwamba tunapokuja kwa Kristo na kuunganishwa Kwake na kwa Baba yetu wa Mbinguni kwa agano, tunaweza kubadilishwa na kukamilishwa katika Yesu Kristo. Dondoo. Mzee Dieter F. UchtdorfYesu Kristo Ni Nguvu kwa WazaziMzee Uchtdorf anafundisha jinsi ambavyo Yesu Kristo huwasaidia wazazi kutimiza wajibu wao mtakatifu wa kuwafundisha na kuwatunza watoto wao. Dondoo. D. Todd ChristoffersonWamoja katika KristoMzee Christofferson anafafanua jinsi tunavyoweza kufikia umoja licha ya tofauti zetu—kwa sisi binafsi kuja kwa Yesu Kristo. Dondoo. Rais Camille N. JohnsonYesu Kristo Ni FarajaRais Johnson anafundisha kwamba tunaweza kushirikiana na Mwokozi ili kutoa faraja ya kimwili na kiroho kwa wale walio na uhitaji. Dondoo. Mzee Ulisses SoaresWafuasi wa Mfalme wa AmaniMzee Soares anafundisha kuhusu sifa kama za Kristo ambazo zitatusaidia tukuze amani na kuwa wafuasi wa kweli wa Yesu Kristo. Dondoo. Mzee Neil L. AndersenAkili Yangu Ilifikiria Wazo Hili juu ya Yesu KristoMzee Andersen anafundisha jinsi tunavyoweza kupokea mwongozo wa kiungu na nguvu za kiungu pale tunapofikiria juu ya Yesu Kristo na dhabihu Yake ya kulipia dhambi. Dondoo. Rais M. Russell BallardKumbuka Kile Kilicho Muhimu ZaidiRais Ballard anafundisha kuhusu vitu ambavyo vina umuhimu zaidi, ikijumuisha uhusiano wetu, misukumo yetu ya kiroho na shuhuda zetu. Dondoo. Mzee Ronald A. RasbandHosana kwa Mungu Aliye Juu SanaMzee Rasband anafundisha kwamba kuingia kwa Yesu Kristo kwa shangwe huko Yerusalemu na yale matukio ya wiki iliyofuatia yanaonesha kwa mfano fundisho tunaloweza kutumia katika maisha yetu leo. Dondoo. Kaka Ahmad S. CorbittUnajua Kwa Nini Mimi Kama Mkristo Ninaamini katika Kristo?Mzee Corbitt anafundisha kuhusu mpango wa wokovu, mafundisho ya Kristo, na umuhimu wa kushiriki kweli hizi na wengine. Dondoo. Mzee David A. Bednar“Kaa Ndani Yangu, Nami Ndani Yako; Kwa Hiyo, Tembea Pamoja Nami”Mzee Bednar anafundisha kwamba tunapokaa ndani ya Mwokozi, Yeye atakaa ndani yetu na tutabarikiwa. Dondoo. Wazee Randall K. Bennett na Kazuhiko YamashitaBaraka za PatriakiMzee Bennett na Mzee Yamashita wanafundisha kuhusu umuhimu wa baraka za patriaki na lini zipokelewe. BangoChagua Kuwa MpatanishiBango lenye nukuu ya Rais Russell M. Nelson kutoka mkutano mkuu wa Aprili 2023. Kidijitali PekeeKaratasi za Kupamba ukutani za MkutanoKaratasi za kupamba ukutani kutoka kwenye mkutano mkuu wa Aprili 2023. Wito wa Kujiunga: Tamasha la Vijana la Muziki na SanaaOna jinsi gani ya kujiunga kwenye Tamasha la Vijana la Muziki na Sanaa.