Mei 2024 Rais Russell M. NelsonShangilia Katika Zawadi ya Funguo za UkuhaniRais Nelson anafundisha jinsi funguo za ukuhani na kuabudu hekaluni kunavyoweza kuyabariki maisha yetu. Dondoo. Rais Dallin H. OaksMaagano na MajukumuRais Oaks anafundisha kuhusu umuhimu wa kufanya maagano na Mungu na baraka ambazo huja kutokana na kushika maagano hayo. Rais Henry B. EyringYote Yatakuwa Sawa Kwa Sababu ya Maagano ya HekaluniRais Eyring anafundisha kwamba tunapofanya na kushika maagano ndani ya hekalu, tutapokea baraka nyingi za kiroho, sasa na milele. Dondoo. Rasi Jeffrey R. HollandMatamanio Halisi ya NafsiRais Holland anafundisha kuhusu nguvu ya sala na anashuhudia kwamba Mungu hujibu kila sala. Dondoo. Dada J. Anette DennisMvaeni Bwana Yesu KristoDada Dennis anafundisha kuhusu umuhimu, nguvu, na baraka za kufanya na kushika maagano na Mungu. Dondoo. Mzee Ulisses SoaresUjasiri wa Agano kupitia Yesu KristoMzee Soares anafundisha kuhusu umuhimu wa kuishi kwa maagano tuliyoyafanya, ambayo yatatupatia nguvu na kujiamini. Dondoo. Mzee David A. Bednar“Tulieni na Jueni Kuwa Mimi ni Mungu”Mzee Bednar anafundisha kwamba tunapokuwa “tumetulia” tunaweza kujua kwamba Mungu ni Baba yetu wa Mbinguni na Yesu Kristo ni Mwokozi wetu. Dondoo. Mzee Gerrit W. GongMambo Yote kwa Faida YetuMzee Gong anatoa hakikisho kwamba katika mpango wa Baba yetu wa Mbinguni, hata majanga na majaribu mengine magumu yanaweza kuwa kwa faida yetu. Dondoo. Kaka Michael T. NelsonKatika Kuunga Mkono Kizazi KinachoinukiaKaka Nelson anafundisha kwamba uhusiano tulio nao na vijana unaweza kuwashawishi wafanye chaguzi nzuri zaidi. Dondoo. Mzee Quentin L. CookKuwa na Umoja pamoja na KristoMzee Cook anafundisha kwamba tunapaswa kujitahidi kuwajumuisha wengine kwenye mduara wetu wa umoja, kwamba tumeunganishwa kwa imani katika Yesu Kristo, na kwamba kiini cha kuwa sehemu ya, ni kuwa na umoja pamoja na Kristo. Dondoo. Dada Andrea Muñoz SpannausMwaminifu hadi MwishoDada Spannus anafundisha njia sita ambazo tunaweza kujiandaa wenyewe kukabiliana na ulimwengu na kuwa waaminifu hadi mwisho. Dondoo. Mzee Dieter F. UchtdorfFuraha ya Juu ZaidiMzee Uchtdorf anafundisha kwamba tunaweza kupata shangwe ya juu tunaposonga karibu na Mungu, kujitahidi kumfuata Yesu kristo na kutafuta kuleta shangwe kwa wale wanaotuzunguka. Dondoo. Mzee Ronald A. RasbandManeno ni MuhimuMzee Rasband anafundisha kwamba maneno ya Bwana, maneno ya manabii, na maneno yetu wenyewe ni muhimu na kwamba kusema “Asante,” “Pole” na “Ninakupenda” inaweza kusaidia kuonyesha heshima kwa wengine. Dondoo. Na Rais Susan H. PorterSali, Yeye YupoRais Porter anawafundisha watoto kuhusu kusali ili kujua Baba wa Mbinguni yupo, kusali ili kukua kama Yeye, na kusali ili kuonyesha upendo Wake kwa wengine. Dondoo. Mzee Dale G. RenlundMzunguko Wenye Nguvu, Mwema wa Mafundisho ya KristoMzee Renlund anafundisha kwamba mafundisho ya Kristo siyo tukio la wakati mmoja bali ni mchakato unaoendelea. Dondoo. Mzee Patrick KearonNia ya Mungu ni Kukuleta NyumbaniMzee Kearon anafundisha kwamba mpango wa Mungu umesanifiwa ili kuwasaidia watoto Wake kurudi nyumbani Kwake ili sisi sote tuweze kupokea uzima wa milele. Mzee D. Todd ChristoffersonUshuhuda Juu ya YesuMzee Christofferson anafundisha kile inachomaanisha kuwa jasiri katika ushuhuda juu ya Kristo na anatualika kuchukua hatua sasa ya kuwa miongoni mwa wale walio jasiri. Dondoo. Mzee Gary E. StevensonKuunganisha Amri Mbili KuuAkilinganisha amri mbili kuu na minara kwenye daraja, Mzee Stevenson anafundisha umuhimu wa kumpenda Mungu na wengine. Dondoo. Mzee Neil L. AndersenMahekalu, Nyumba za Bwana Zikienea DunianiMzee Andersen anashuhudia kwamba mahekalu yatatuhifadhi, kutulinda na kutuandaa kwa ajili ya kurudi kwa Yesu Kristo. Dondoo. Kidijitali PekeeKaratasi za Kupamba Ukutani za Mkutano MkuuKaratasi za Kupamba Ukutani kutoka kwenye mkutano mkuu wa Aprili 2024.