2011
Kutafuta Wema karibu Nawe
Machi 2011


Watoto

Kutafuta Wema karibu Nawe

Unaweza kuona wema mwingi karibu nawe kama ukijifunza kuutafuta. Njia moja unayoweza kujifunza ni kutumbua baraka ni kwa kufanya tabia ya kila siku kuhesabu mambo mengi uliyoyaona siku hiyo.

Chukua wakati kila usiku kumwambia mwanafamilia juu ya mambo mazuri uliyoyaona katika maisha yako mwenyewe siku hiyo.

Chapisha