2013
Chagua Kukaa Tuli
Machi 2013


Watoto

Chagua Kuwa Tuli

Rais Monson anasema kwamba tunapokaa tuli na kuwa na staha, tunaweza kuhisi amani na kupokea ushuhuda thabiti wa Baba yetu wa Mbinguni. Na Roho Mtakatifu anaweza kutupatia msukumo vyema kwa njia tunavyoweza kuwasaidia wengine.

Andika chini au jadili na wazazi wako njia moja unayoweza kukaa tuli. Kisha chukua muda wiki hii kuzijaribu. Baada ya kufanya hivyo, unaweza kuandika katika shajara yako kuhusu hisia na msukumo uliopata.

Chapisha