2015
Kuangalia Hekaluni
Juni 2015


Watoto

Kuangalia Hekaluni

Rais Eyring anaelezea kwamba kwa sababu ya ukuhani, tuna fursa ya kwenda hekaluni ili kuunganishwa pamoja na familia yetu milele. Chora ama tafuta picha ya hekalu unalolipenda na kuiweka mahali ambapo utaiona kila siku. Andika orodha ya jinsi utakavyojiandaa kwenda hekaluni siku moja.

Chapisha