2016
Wewe Pia U Mwanzilishi!
Julai 2016


Watoto

Wewe Pia U Mwanzilishi!

Waanzilishi ni watu ambao wanaoandaa njia kwa wengine kufuata.

Chora picha ama tafuta picha mmoja wa mababu zako. Je! Unaweza kupata hadithi ya jinsi waliandaa njia kwako ya kufuata. Andika njia mbili unaweza kuwa mwanzilishi leo. Unaweza kushiriki mawazo katika jioni ya famila nyumbani ijayo.

Chapisha