Novemba 2022 Mpendwa Msomaji wa LiahonaMaelezo kuhusu toleo la gazeti hili lenye dondoo za mkutano mkuu. Rais Russell M. NelsonUkweli ni Nini?Rais Nelson anathibitisha mafundisho ya Mwokozi kuhusu unyanyasaji na anashuhudia kuwa Mungu ndie chanzo cha ukweli wote. Dondoo. Rais Russell M. NelsonUshinde Ulimwengu na Upate PumzikoRais Nelson anashuhudia kwamba tunaweza kuushinda ulimwengu na kupata pumziko, kwa nguvu za Yesu Kristo, ambazo tunazifikia kupitia maagano yetu. Dondoo. Rais Russell M. NelsonFokasi kwenye HekaluRais Nelson anafundisha kuhusu umuhimu wa mahekalu na kutangaza mipango ya kujenga mahekalu zaidi. Dondoo. Rais Dallin H. OaksKuwasaidia Masikini na Wenye HuzuniRais Oaks anafundisha kwamba Mungu huyapa msukumo mashirika mengi na watu ili kuwasaidia wale walio na uhitaji na kwamba kanisa limejikita kushirikiana na wengine katika juhudi hiyo. Dondoo. Rais Henry B. EyringUrithi wa UhimizajiRais Eyring anaonyesha jinsi mama yake na nabii Mormoni walivyohimiza vizazi vyao kukidhi vigezo vya uzima wa milele kupitia majaribu yote ya maisha. Mzee Dieter F. UchtdorfYesu Kristo Ni Nguvu kwa VijanaMzee Uchtdorf anafundisha kwamba Yesu Kristo ni mwongozi bora wa kufanya chaguzi. Pia alitambulisha mwongozo mpya wa Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana. Dondoo. Bango: Je, Umelisoma?Bango kuhusu mwongozo mpya wa Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana. Dada Tracy Y. BrowningKumwona Zaidi Yesu Kristo Katika Maisha YetuDada Browning anatuhimiza tuyaone maisha yetu kutoka kwenye mtazamo wa injili ili tuweze kumwona zaidi Mwokozi katika maisha yetu. Dondoo. Mzee Dale G. RenlundMfumo kwa ajili ya Ufunuo BinafsiMzee Renlund anafundisha jinsi ya kupokea ufunuo binafsi kupitia Roho Mtakatifu na jinsi ya kuepuka udanganyifu. Dondoo. Mzee Ronald A. RasbandLeo HiiMzee Rasband anatoa mifano ya Rais Nelson akishiriki Kitabu cha Mormoni, anaelezea jinsi yeye alivyojaribu kufuata mfano wa nabii, na anawaalika wote kufanya vivyo hivyo. Dondoo. Rais M. Russell BallardMfuate Yesu Kristo kwa Hatua za ImaniRais Ballard anatufundisha kwamba tunapomfuata Yesu Kristo kwa imani, Yeye atatusaidia kuvuka nyakati ngumu, kama vile Yeye alivyofanya kwa waanzilishi. Dondoo. Dada Kristin M. YeeTaji la Maua Badala ya Majivu: Njia ya Uponyaji ya MsamahaDada Yee anafundisha kwamba tunabarikiwa wakati tunapomfuata Mwokozi kwenye njia ya uponyaji ya msamaha. Dondoo. Mzee Ulisses SoaresKwa Ushirikiano na BwanaMzee Soares anafundisha kwamba wakati wanawake na wanaume wanapofanya kazi pamoja kwa ushirikiano wa kweli na ulio sawa, watafurahia umoja uliofundishwa na Mwokozi. Dondoo. Mzee D. Todd ChristoffersonMafundisho ya Kuwa Sehemu YaMzee Christofferson anafundisha kwamba mafundisho ya kuwa sehemu ya hujumuisha kukaribisha utofauti, kuwa radhi kuhudumu na kutoa dhabihu na kujua jukumu la Mwokozi. Dondoo. Dada Michelle D. CraigKwa Moyo WoteDada Craig anatufundisha kweli tatu ambazo zinaweza kutusaidia kukua kama wafuasi na kumtumaini Bwana katika majaribu yetu. Dondoo. Mzee Neil L. AndersenKusogea Karibu Zaidi na MwokoziMzee Andersen anafundisha kwamba tunaweza kujiandaa kwa ajili ya Ujio wa Pili kwa kufanya maagano na kuimarisha msimamo wetu kwa Mwokozi. Dondoo. Mzee Jeffrey R. HollandAliinuliwa Juu ya MsalabaMzee Holland anafundisha kile inachomaanisha kujitwika msalaba wako kama mfuasi wa Yesu Kristo. Dondoo. Dada J. Anette DennisNira Yake ni Laini na Mzigo Wake ni MwepesiDada Dennis anafundisha kwamba tunapaswa kuepuka kuwahukumu wengine na badala yake tuwe na huruma na upendo kwa kila mtu. Dondoo. Mzee Gerrit W. GongFuraha na MileleMzee Gong anafundisha kwamba tunapoufuata mpango wa Mungu kwa ajili yetu, tutapata shangwe ya milele pamoja na familia zetu. Dondoo. Rais Steven J. LundUfuasi wa KudumuRais Lund anaelezea nguvu ya kiroho ambayo huja kutokana na mikutano ya KNV na anafundisha jinsi vijana wanavyoweza kuendeleza nguvu hiyo. Dondoo. Mzee David A. BednarJivike Nguvu Zako, Ee SayuniMzee Bednar anatumia fumbo la karamu ya harusi ya kifalme kufundisha kwamba, kupitia matumizi mema ya haki yetu ya kujiamulia, tunaweza kuchagua kuwa wateule wa Bwana. Dondoo. Mzee Gary E. StevensonKulisha na Kutoa Ushuhuda WakoMzee Stevenson anafundisha kuhusu maana ya ushuhuda na umuhimu wa kuweka ushuhuda wako imara na kuusema kwa maneno na matendo. Dondoo Mzee Quentin L. CookKuwa Mkweli kwa Mungu na Kazi YakeMzee Cook anafundisha kuhusu umuhimu wa kupata shuhuda zetu wenyewe za Yesu Kristo, kutubu dhambi zetu, na kubaki wakweli kwa Mungu na kazi Yake. Dondoo Kidijitali PekeeMabango ya MkutanoMabango ya Kidijitali Kutoka kwenye mkutano mkuu wa Okt. 2022.