Agosti 2024 Dale G. RenlundMungu Atatusaidia na KutulindaMzee Renlund anafundisha kwamba sisi, kama Kapteni Moroni, tunaweza kupokea msaada wa kiungu na nguvu kwa ajili ya mapambano tunayokabiliana nayo maishani tunapoheshimu maagano yetu na kutii amri. Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana Andrea Muñoz SpannausUhusiano Wenye NguvuDada Spannaus anafundisha jinsi uhusiano wa agano na Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo unavyotupatia njia zaidi ya kufikia nguvu Zao. Rafiki Vijana Askari MashujaaSoma hadithi kuhusu jinsi kundi la vijana wapiganaji mashujaa walivyojifunza kutoka kwa mama zao kumtumaini Mungu.