Kujifunza Kiingereza
Kiambatisho: Msamiati wa Ziada


“Kiambatisho: Msamiati wa Ziada,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Msamiati wa Ziada,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi

vijana wakubwa watatu wakizungumza

Appendix

Additional Vocabulary

Kiambatisho: Msamiati wa Ziada

Parts of Speech

Aina za Maneno

adjectives

vivumishi

adverbs

vielezi

nouns

nomino

prepositions

vihusishi

pronouns

viwakilishi

verbs

vitenzi

Numbers

Nambari

0 – zero

1 – one

1st – first

2 – two

2nd – second

3 – three

3rd – third

4 – four

4th – fourth

5 – five

5th – fifth

6 – six

6th – sixth

7 – seven

7th – seventh

8 – eight

8th – eighth

9 – nine

9th – ninth

10 – ten

10th – tenth

11 – eleven

11th – eleventh

12 – twelve

12th – twelfth

13 – thirteen

13th – thirteenth

14 – fourteen

14th – fourteenth

15 – fifteen

15th – fifteenth

16 – sixteen

16th – sixteenth

17 – seventeen

17th – seventeenth

18 – eighteen

18th – eighteenth

19 – nineteen

19th – nineteenth

20 – twenty

20th – twentieth

21 – twenty-one

21st – twenty-first

30 – thirty

30th – thirtieth

31 – thirty-one

31st – thirty-first

40 – forty

40th – fortieth

41 – forty-one

41st – forty-first

50 – fifty

50th – fiftieth

51 – fifty-one

51st – fifty-first

60 – sixty

60th – sixtieth

61 – sixty-one

61st – sixty-first

70 – seventy

70th – seventieth

71 – seventy-one

71st – seventy-first

80 – eighty

80th – eightieth

81 – eighty-one

81st – eighty-first

90 – ninety

90th – ninetieth

91 – ninety-one

91st – ninety-first

100 – one hundred

100th – one hundredth

1,000 – one thousand

10,000 – ten thousand

1,000,000 – one million

Months

Miezi

January

Januari

February

Februari

March

Machi

April

Aprili

May

Mei

June

Juni

July

Julai

August

Agosti

September

Septemba

October

Oktoba

November

Novemba

December

Desemba

Days of the Week

Siku za Wiki

Sunday

Jumapili

Monday

Jumatatu

Tuesday

Jumanne

Wednesday

Jumatano

Thursday

Alhamisi

Friday

Ijumaa

Saturday

Jumamosi

Family Nouns

Nomino za Familia

spouse/spouses

mwenzi/wenzi

wife/wives

mke/wake

husband/husbands

mume/waume

mother (mom)/mothers

mama/mama

stepmother (stepmom)/stepmothers

mama wa kambo/mama wa kambo

mother-in-law/mothers-in-law

mama mkwe/mama wakwe

father (dad)/fathers

baba/baba

stepfather (stepdad)/stepfathers

baba wa kambo/baba wa kambo

father-in-law/fathers-in-law

baba mkwe/baba wakwe

parent/parents

mzazi/wazazi

sister/sisters

dada/dada

stepsister/stepsisters

dada wa kambo/dada wa kambo

brother/brothers

kaka/kaka

stepbrother/stepbrothers

kaka wa kambo/kaka wa kambo

daughter/daughters

binti/mabinti

sibling/siblings

ndugu/ndugu

son/sons

mwana/wana

child/children

mtoto/watoto

grandmother (grandma)/grandmothers

Bibi/bibi

grandfather (grandpa)/grandfathers

babu/babu

grandparent/grandparents

mababu/mababu

aunt/aunts

shangazi/shangazi

uncle/uncles

mjomba/wajomba

niece/nieces

mpwa wa kike/wapwa wa kike

nephew/nephews

mpwa wa kiume/wapwa wa kiume

cousin/cousins

binamu/mabinamu

Food Nouns

Nomino za Chakula

breakfast

kifungua kinywa

lunch

chakula cha mchana

dinner

chakula cha usiku

fruit/fruits

tunda/matunda

apple/apples

tufaa/matufaa

banana/bananas

ndizi/ndizi

grape/grapes

zabibu/zabibu

orange/oranges

chungwa/machungwa

tomato/tomatoes

nyanya/nyanya

watermelon/watermelons

tikiti maji/matikiti maji

vegetable/vegetables

mboga/mboga

carrot/carrots

karoti/karoti

cucumber/cucumbers

tango/matango

lettuce

saladi

onion/onions

kitunguu/vitunguu

pepper/peppers

pilipili/pilipili

meat

nyama

beef

nyama ya ng’ombe

chicken

kuku

fish

samaki

pork

nyama ya nguruwe

egg/eggs

yai/mayai

beans

maharagwe

bread

mkate

butter

siagi

cheese

jibini

dessert

kitindamlo

flour

unga

fries

chipsi

hamburger (burger)

Hambaga (baga)

ice

barafu

milk

maziwa

noodles

tambi

oil

mafuta

pizza

piza

rice

mchele/wali

salad

saladi

salt

chumvi

sandwich

sandwichi

sauce

mchuzi

soup

supu

spices

viungo

sugar

sukari

water

maji

Prepositions

vihusishi

above

juu

across from

ng’ambo kutoka

at

ni/kwa

behind

nyuma

below

chini

between

katikati ya

in front of

mbele ya

in

katika

near

karibu

next to

karibu na

on

kwenye/juu ya

over

juu ya

to the left of

upande wa kushoto wa

to the right of

upande wa kulia wa

under

chini ya

Pronouns and Possessive Adjectives

Viwakilishi na Vivumishi Miliki

Subject Pronoun

Object Pronoun

Possessive Adjective

Subject Pronoun

Example:

I am happy.

Mimi nina furaha.

Object Pronoun

Example:

Ann is bigger than me.

Ann ni mkubwa kuliko mimi.

Possessive Adjective

Example:

My name is Tom.

Jinalangu ni Tom.

Subject Pronoun

I

Object Pronoun

me

Possessive Adjective

my

Subject Pronoun

you

Object Pronoun

you

Possessive Adjective

your

Subject Pronoun

we

Object Pronoun

us

Possessive Adjective

our

Subject Pronoun

he

Object Pronoun

him

Possessive Adjective

his

Subject Pronoun

she

Object Pronoun

her

Possessive Adjective

her

Subject Pronoun

it

Object Pronoun

it

Possessive Adjective

its

Subject Pronoun

they

Object Pronoun

them

Possessive Adjective

their

Currency

Fedha

A$

Dola ya Australia

C$

Dola ya Kanada

MX$

Peso ya Mexico

R$

Reali ya Brazil

US$

Dola ya Marekani

euro

¥

Yen ya Japani

£

Paundi ya Uingereza

¥

renminbi

R

Randi ya Africa Kusini