Msaada kwa ajili ya Watoto na Vijana
Nyenzo za Msaada


“Nyenzo za Msaada” Watoto na Vijana wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho: Mwongozo wa Utambulisho kwa ajili ya Wazazi na Viongozi ( 2019)

Nyenzo za Msaada

Nyenzo za Msaada

Nyenzo tamba, za mtandaoni, na zilizochapishwa zinapatikana. Vifaa kwa ajili ya kupanga malengo, mawazo kwa ajili ya malengo, mawazo kwa ajili ya huduma na shughuli nyumbani na kanisani, miongozo ya usalama, na maelekezo vinaweza kufikiwa na wazazi, viongozi watu wazima, urais wa akidi na darasa, pamoja na vijana.

Nyenzo

Picha
Simu janja

App ya Simu ya mkononi: Gospel Living

App ya simu ya mkononi ya Gospel Living (iOS na Android) imekusudiwa kuwa yenye mvuto, yenye kuhusisha, yenye kufurahisha, na inayohusika kwenye maisha ya kila siku. Inaunga mkono maisha yaliyolenga kwa Kristo kupitia:

  • Maudhui ya kuvutia

  • Vikumbusho

  • Mawazo ya Shughuli

  • Mawasiliano

  • Kutunza shajara

  • Malengo binafsi

Tafuta Apple app store na Android app marketplace kwa ajili ya kuishi Injili (Kanisa la Yesu Kristo).

Picha
Kijana akiangalia kompyuta

Tovuti: ChildrenandYouth.ChurchofJesusChrist.org

Tovuti ya maendeleo ya Watoto na Vijana inatoa nyenzo kusaidia wazazi, watoto, vijana, na viongozi.

  • Nyenzo za wazazi na familia

  • Nyenzo na mifano kwa ajili ya jinsi ya kuwasaidia na kuwatia moyo watoto na vijana

  • Nyenzo za shughuli ya Msingi

  • Miongozo ya huduma na shughuli, mifano, na mawazo

  • Maendeleo Binafsi (lengo) mifano na mawazo

  • Nyenzo za mafunzo za urais wa darasa na akidi

  • Tafsiri zinazopakulika za nyenzo zilizochapishwa

Chapisho: Maendeleo ya Watoto na Vijana

Panapo msaada, vijitabu vilivyochapishwa vinapatikana kusaidia kanuni za maendeleo ya Watoto na Vijana na kusaidia watoto na vijana kutengeneza mipango kwa ajili ya maendeleo binafsi.

Endelea kwenye Njia ya Agano

Picha
Hekalu la Roma Italia

Wakati vijana wanaposogea kwenye hatua inayofuata ya maisha yao, Muungano wa Usaidizi wa Akina Mama na akidi ya wazee itatoa wingi wa fursa za kutafuta furaha na ukuaji wanapofanya kazi pamoja kukamilisha kazi ya wokovu.

Picha
wavulana wakitabasamu

Akidi ya Wazee

Picha
wasichana wakikumbatiana

Muungano wa Usaidizi wa Akina Mama

Chapisha