Njoo, Unifuate—Kwa ajili ya Ukuhani wa Melkizedeki na Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama Kuna Tofauti Gani?Utangulizi kwa mabadiliko katika mtaala wa watu wazima kwa mikutano ya saa ya tatu ya Ukuhani wa Melkizedeki na Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama Mikutano ya Baraza Jumapili ya KwanzaMaelezo ya muundo huu mpya wa mikutano ya Jumapili ya kwanza ya baraza inayofanywa na ndugu wa Ukuhani wa Melkizediki na Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama. Mikutano ya Jumapili ya Pili na ya TatuMaelezo ya mikutano ya Jumapili ya pili na ya tatu kwa ajili ya ukuhani wa Melkizedeki na Muungano wa Usaidizi wa Akina Mama; mawazo kwa ajili ya kufundisha jumbe zitokazo Mkutano Mkuu. Mikutano ya Jumapili ya NneMaelezo ya mikutano ya Jumapili kwa ndugu wa Ukuhani wa Melkidezeki na kina dada wa Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama.