Watoto na Vijana
Wewe Unalo Lengo


“Wewe Unalo Lengo,” Maendeleo Binafsi: Kitabu cha Mwongozo cha Watoto (2019)

“Wewe Unalo Lengo,” Maendeleo Binafsi: Kitabu cha Mwongozo cha Watoto

Picha
vijana wakifanya shughuli

Wewe Unalo Lengo

Baba yako wa Mbinguni na Mwanawe, Yesu Kristo, wanakujua na wanakupenda. Wewe ni sehemu muhimu ya kazi Yao. Unaweza kusaidia kuufanya ulimwengu kuwa wa kupendeza.

Baba wa Mbinguni amekupa talanta na vipawa vya kiroho. Yeye anataka utumie vipawa na talanta hizi ili uwe na furaha na kuwabariki wengine. Yeye anaweza kukusaidia kujua jinsi ya kufanya hilo kupitia Roho Mtakatifu.

Kitabu hiki cha mwongozo cha maendeleo binafsi kinaweza kukusaidia pale unapoendeleza vipawa vyako na kumfuata Yesu Kristo. Unaweza kuwa mtu yule Baba wa Mbinguni anajua unaweza kuwa.

Chapisha