Nefi, mwana wa Helamani, anaondoka nje ya nchi, na mwana wake Nefi anaandika maandishi—Ingawa ishara na maajabu ni mengi, walio waovu wanapanga kuwaua wenye haki—Usiku wa kuzaliwa kwa Kristo unafika—Ishara inatolewa, na nyota mpya inaonekana—Uwongo na udanganyifu unaongezeka, na wezi wa Gadiantoni wanawaua wengi. Karibia mwaka 1–4 B.K.