Ubatizo wa watoto wachanga ni uovu wa machukizo—Watoto wachanga wameokolewa na Kristo kwa sababu ya Upatanisho—Imani, toba, unyenyekevu na upole wa moyo, kupokea Roho Mtakatifu, na kuvumilia hadi mwisho yanaelekeza kwa wokovu. Karibia mwaka 401–421 B.K.