Sheremu anamkana Kristo, anabishana na Yakobo, anadai ishara, na anapigwa na Mungu—Manabii wote wamezungumza kuhusu Kristo na Upatanisho Wake—Wanefi waliishi maisha yao kama wahamaji, wakizaliwa matesoni na kuchukiwa na Walamani. Karibia mwaka 544–421 K.K.