1. Kaskazinimashariki mwa Marekani
Kask.
Canada
Marekani
Vermont
Mto Connecticut
Maine
Tunbridge
Sharon
Ziwa Ontario
Norwich
Lebanon
New Hampshire
Gilsum
Palmyra
Fayette
Whitingham
Manchester
Albany
New York
Topsfield
Salem
Viziwa Finger
Boston
South Bainbridge
Colesville
Massachusetts
Harmony
Connecticut
Rhode Island
Pennsylvania
Mto Hudson
New Jersey
Mji wa New York
Bahari ya Atlantiki
Mto Susquehanna
Mto Delaware
Philadelphia
Kilomita
0 50 100 150 200
A B C D
1 2 3 4
1
2
3
4
5
6
7
8
9
-
Topsfield Mahali alipozaliwa Joseph Smith Mkubwa, alizaliwa 12 Julai 1771.
-
Gilsum Lucy Mack alizaliwa hapa, 8 Julai 1775.
-
Tunbridge Joseph Smith Mkubwa, na Lucy Mack walioana hapa, 24 Januari 1796.
-
Whitingham Mahali alipozaliwa Brigham Young, alizaliwa 1 Juni 1801.
-
Harmony Emma Hale alizaliwa katika Eneo la Mji wa Harmony, 10 Julai 1804.
-
Sharon Joseph Smith Mdogo, alizaliwa hapa, 23 Desemba 1805 (ona JS—H 1:3).
-
Lebanon Familia ya Smith iliishi katika Eneo la Mji wa Lebanoni tangu 1811 hadi 1813, wakati ambao Joseph Smith Mdogo, alipopata mfululizo wa matukio ya upasuaji wa mguu.
-
Norwich Familia ya Smith iliishi hapa tangu mwaka 1814–1816 kabla ya kuhamia Palmyra.
-
Palmyra Familia ya Smith ilihamia hapa katika mwaka 1816 (ona JS—H 1:3).