Misaada ya Kujifunza
TJS, Amosi 7


TJS, Amosi 7:3. Linganisha na Amosi 7:3

Bwana hatubu; wanadamu hutubu.

3 Na Bwana akasema, juu ya Yakobo, Yakobo atatubu kwa ajili ya hili, kwa hiyo sitamwangamiza yeye kabisa, asema Bwana.

Chapisha