Misaada ya Kujifunza
TJS, Yeremia 26


TJS, Yeremia 26:13. Linganisha na Yeremia 26:13

Bwana hatubu; watu hutubu.

13 Kwa hiyo sasa, tengenezeni njia zenu na matendo yenu, na mkasikilize sauti ya Bwana Mungu wenu, na kutubu, naye Bwana atayaghairi maovu aliyoyanena juu yenu.

Chapisha