Misaada ya Kujifunza
TJS, Waefeso 4


TJS, Waefeso 4:26. Linganisha na Waefeso 4:26

Hasira isiyo ya haki ni dhambi.

26 Mwaweza kuwa na hasira, na msitende dhambi? jua na lisichwe ghadhabu yako ingali haijatoweka;

Chapisha