2022
Kuunganishwa na Familia Yako
Disemba 2022


Mambo Muhimu ya Kitabu

Kuunganishwa na Familia Yako

Kujua kwamba familia zinaweza kuwa pamoja milele huleta amani na tumaini. Nguvu ya kuunganisha ambayo hutumiwa ndani ya mahekalu hurasimisha ndoa na huunganisha familia pamoja kwa vizazi vyote.

Baba yetu wa Mbinguni ametoa njia kwa familia kuwa pamoja milele. Ndani ya hekalu, waume na wake pamoja na watoto na wazazi kwa vizazi vyote wanaweza kuunganishwa pamoja kwa maisha haya na milele yote. Wakati wewe na mwenza wako mnapokuwa mmepata endaumenti, mnaweza kuunganishwa pamoja sambamba na watoto wenu. Unaweza pia kushiriki katika kuunganishwa kwa niaba ya mababu zako waliofariki.

  • Jifunze kuhusu kuunganishwa ndani ya hekalu. Fikiria kutumia:

  • “About a Temple Sealing,” temples.ChurchofJesusChrist.org.

  • “Why Is Family So Important?” “How Can My Family Return to Live with God?” “What Is the Purpose of the Temple?” “What Is the Temple Sealing?” and “What about My Family?” in Families and Temples, 1–5, 9–10, 22–26.

  • Weka tarehe hekaluni ya kuunganishwa na mwenza wako na watoto kwa muda na milele yote (ikiwa inafaa).

Ikiwa hali zako zinaruhusu, endelea kutembelea hekaluni mara kwa mara baada ya kupata endaumenti na kuunganishwa ili uweze kufanya ibada kwa ajili ya mababu zako waliofariki.1

Muhtasari

  1. Njia Yangu ya Agano: Karibu kwenye Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho [2020], 19.

Chapisha