Picha Bwana Yesu Kristo Mchoraji ni Heinrich Hoffman Nabii Joseph Smith Mchoraji ni Alvin Gittins Ona “Ushuhuda wa Nabii Joseph Smith,” kurasa za ⅹⅰ–ⅹⅳ Lehi agundua Liahona Mchoraji ni Arnold Friberg Ona 1 Nefi 16, kurasa za 40–44 Lehi na watu wake wanawasili katika nchi ya ahadi Mchoraji ni Arnold Friberg Ona 1 Nefi 18, kurasa za 50–52 Alma anabatiza katika Maji ya Mormoni Mchoraji ni Arnold Friberg Ona Mosia 18, kurasa za 219–222 Samweli Mlamani atoa unabii Mchoraji ni Arnold Friberg Ona Helamani 16, kurasa za 501–503 Yesu Kristo anazuru bara za Marekani Mchoraji ni John Scott Ona 3 Nefi 11, kurasa za 529–533 Moroni anazika kumbukumbu ya Wanefi Mchoraji ni Tom Lovell Ona Mormoni 8, kurasa 594–598