Misaada ya Kujifunza
TJS, Waebrania 1


TJS, Waebrania 1:6–7. Linganisha na Waebrania 1:6–7

Malaika ni roho wanaohudumu.

6 Na tena, amletapo mzaliwa pekee wa kwanza ulimwenguni, asema, Na acha malaika wote wa Mungu wamsujudu, yeye awafanyaye wahudumu wake kama miale ya moto.

7 Na juu ya malaika alisema, Malaika ni roho zinazohudumu.

Chapisha