Misaada ya Kujifunza
TJS, Marko 12


TJS, Marko 12:32. Linganisha na Marko 12:27

Mungu siyo Mungu wa wafu, kwa sababu Yeye huwafufua wafu kutoka katika makaburi yao.

32 Kwa hiyo yeye siyo Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai; kwa maana yeye huwafufua kutoka katika makaburi yao. Kwa hiyo ninyi mnafanya makosa makubwa.

Chapisha